'MBUYU' HAMAD RASHID HATIMAYE WANG'OLEWA CUF

 Hamad Rashid (kulia) akizungumza na wanahabari, Dar es Salaam hivi karibuni kuhusu Sakata hilo. Kulia ni Doyo Hassan Doyo ambaye ni Mjumbe wa Baraza Kuu kutoka Tanga.

Habari Kamili

Baraza Kuu la Chama cha Wananchi (CUF), limewatimua wajumbe watano wa Baraza hilo, akiwemo Mbunge wa Jimbo la Wawi, Hamad Rashid Mohamed.

Wengine waliotimuliwa ni; Doyo Hassan Doyo Mjumbe wa Barza Kuu kutoka Tanga, Hamis Shoka, Mjumbe wa Baraza Kuu-Pemba,Juma Saanani (Baraza Kuu) na Mjumbe wa Barza Kuu kutoka Mbeya, Yassin Mrotwa.

Hamadi Rashid, baada ya kufukzwa, amesema Maalim Seif ametumia ubabe n a kwamba chama hicho kitakufa.

Wakati huo huo waliotimuliwa, wana mipango ya  kukata rufaa, ikiwa ni pamoja na kwenda kufungua kesi mahakamani.

Habari zaidi mtaletewa baadaye




Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.