MKUTANO WA MADAKTARI WA KUDAI HAKI ZAO

Rais Mteule wa Cahama cha Madaktari Tanzania (MAT),Primus Saidia akionesha vitabu vya Serikali vinavyoelezea haki za wafanyakazi wa Taasisi za Serikali wakiwemo madaktari, jana wakati wa mkutano mkuu wa madaktari nchini, Dar es Salaam leo , ambapo pamoja na mambo mengine walizungumzia kuhusu tamko lao la kuitaka Serikali kuwarejesha Hospitai ya Taifa ya Muhimbili, madakari wenzao walioko mafunzoni ambao wamehamishiwa hospitali za kawaida baada ya kuitisha mgomo wa kudai malipo yao.


Rais wa Chama cha Madaktari Tanzania (MAT), Dk. Namala Nkopi akifafanua jambo wakati wa mkutano mkuu wa madaktari nchini, Dar es Salaam, ambapo pamoja na mambo mengine walizungumzia kuhusu tamko lao la kuitaka Serikali kuwarejesha Hospitai ya Taifa ya Muhimbili, madakari wenzao walioko mafunzoni ambao wamehamishiwa hospitali za kawaida baada ya kuitisha mgomo wa kudai malipo yao. (PICHA NA RICHARD MWAIKENDA)

Rais wa Chama cha Madaktari Tanzania (MAT), Dk. Namala Nkopi akisisitiza jambo wakati wa mkutano huo.

                                       Baadhi ya madaktari waliohudhuria mkutano huo wa kudai pia maslahi zai

Baadhi ya madaktari wakisikiliza kwa makini wakati Rais wa Chama cha Madaktari Tanzania (MAT), Dk. Namala Nkopi akifafanua jambo katika mkutano mkuu wa madaktari nchini, Dar es Salaam jana, ambapo pamoja na mambo mengine alizungumzia kuhusu tamko lao la kuitaka Serikali kuwarejesha Hospitai ya Taifa ya Muhimbili, madakari wenzao walioko mafunzoni ambao wamehamishiwa hospitali za kawaida baada ya kuitisha mgomo wa kudai malipo yao. (PICHA NA KAMANDA  RICHARD MWAIKENDA)

Comments

Anonymous said…
Kweli ni halali yenu, lakini angalieni mnauwa ndugu zenu wanyonge, hao mnaowambia wote wanatibiwa Ulaya sisi tufanyeje jamani, pesa tutaziacha hapa hapa duniani, ingekuwa ni Elimu unaweza ukasoma wakati wowote,lakini roho ya mtu itanuzwa duka gani jamani.yaani ikitoka tukanunue waendelee kuishi

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

HAKUNA BINADAMU ALIYESALIMIKA NA UPOFU HUU...

SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA WATANZANIA WATAKAOVAA JEZI ZA MAMELODI AU AL AHLY

ALLY KAMWE AZIMIA KWA MKAPA.

RAIS SAMIA KUZINDUA MKUTANO MKUU WA 79 WA BARAZA LA MICHEZO YA MAJESHI DUNIANI

MIGINGO KISIWA KIDOGO ZAIDI AFRIKA KILICHOGOMBEWA NA UGANDA, KENYA