NAPE ANOGESHA BONANZA LA WAFANYAKAZI WA SAHARA COMMUNICATIONS LTD MWANZA

Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akishiriki mchezo wa kuvutana kwa kamba na wafanyakazi wa Sahara Communications Ltd, wakati wa Bonanza la wafanyakazi hao kwenye ufukwe wa ziwa Victoria jijini Mwanza.
Nape na baadhi ya wafanyakazi wa sahara wakishangilia baada ya kundi lao kuwashinda wengine katika kuvuta kamba.
Wanawake wakishindana kuvuta kamba katika bonaza hilo.
Hawa ndiyo vimwana wa Sahara Communication hebu wacheki katika pozi hii ya picha wakishangilia. KWA HISANI YA BLOGU YA FULLSHANGWE

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.