Ngeleja atembelea mgodi wa tulawaka


Ngereja akitoa maelekezo kwa watendaji wa mgodi wa Tulawaka unaomilikiwa na Barrick, alikuwa akiwa kwenye machimbo
Waziri Ngereja akiwa wenye mgodi wa Kabanga Nickel uliko wilayani Biharamulo alikuwa akionyeshwa eneo la machimbo na meneja mkuu wa mgodi huo Kevin Olshefsk.
Ujumbe ulioambatana na Ngereja ukiwa tayari kuingia kwenye mgodi wa Tulawaka ulioko wilayani Ngara unaomiliwa na kampuni ya Barrick.
Sehemu ya machimbo ya mgidi wa Tulawaka uliko wilayani Biharamulo uliotembelewa na Waziri Ngereja.(PICHA NA AUDAX MTIGANZI MDAU WA MJENGWA BLOG)

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA