PILIKAPILIKA ZA UJENZI WA MAKAZI MAPYA YA WAATHIRIKA WA MAFURIKO MABWEPANDE

Mhandisi wa Mradi wa makazi mapya watakakohamia waathirika wa mafuriko, Ismail Mafita (kulia), akimuelezea Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Jordan Rugimbana kuhusu maendeleo ya ujenzi wa mabanda ya waathirika leo katika eneo la Mabwepande, Dar es Salaam.

 Mmoja wa maofisa wlioko kwenye mradi huo, akiwaeleza baadhi ya waathirika wa mafuriko kutoka eneo la Hannanasif, walipokwenda kuangalia eneo hilo watakalohamia kuanza maisha mapya.
 Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni,Rugimbana  (kulia)akimpongeza mmoja wa askari wa JKT, wakati wa ujenzi wa mahema ya waathirika leo
 Rugimbana akisaidia kuweka sawa hema wakati wa ujenzi wa mabanda ya waahtirika
Baadhi ya waahtirika wa mafuriko wakitembezwa na Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, kuona maendeleo ya ujenzi wa mahema watakamohamia


JKT wakiendelea kuenga mahema

Baadhi ya Askari wa JKT, wakihudumiwa maji baada ya kupata mlo wa mchana

Askari wa Kikosi cha Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), wakiendelea na ujenzi wa mahema kwa ajili ya makazi ya muda kwa waathirika wa mafuriko,katika eneo la Mabwepande, wilayani Kinondoni, Dar es Salaam. (PICHA ZOTE NA KAMANDA  RICHARD MWAIKENDA)
                                           Choo kikiandaliwa na fundi wa Msalaba Mwekundu
Mfumo wa maji wa muda ukiwa umetengenezwa
                                              

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

HAKUNA BINADAMU ALIYESALIMIKA NA UPOFU HUU...

SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA WATANZANIA WATAKAOVAA JEZI ZA MAMELODI AU AL AHLY

ALLY KAMWE AZIMIA KWA MKAPA.

RAIS SAMIA KUZINDUA MKUTANO MKUU WA 79 WA BARAZA LA MICHEZO YA MAJESHI DUNIANI

MIGINGO KISIWA KIDOGO ZAIDI AFRIKA KILICHOGOMBEWA NA UGANDA, KENYA