PILIKAPILIKA ZA WAATHIRIKA KUHAMA KAMBI ZILIZOPO MASHULENI DAR

Watoto waathirika wa mafuriko wakiwa wamebeba magodoro, wakitoka katika kambi ya waathirika ya Shule ya Sekondari ya Benjamin Mkapa, Dar esSalaam, baada ya Serikali kuamuru wapangaji wote kuondoka katika kambi kwenda kujihifadhi kwa ndugu zao.
 Mtoto akiwa amelala akisubiri yeye na wazazi wake kuondoka katika kambi ya waathirika ya Shule ya Sekondari ya Benjamin Mkapa, Dar es Salaam.
                                 Mmoja wa watoto akijiandaa kuondoka na godoro lake
 Mgambo akipekua mizigo ya mmoja wa waathirika aliyekuwa akiondoka katika kambi
 Baadhi ya wapangaji waathirika wa mafuriko wakiwa nje ya lango kuu la kambi ya Benjamin Mkapa tayari kuondoka leo
 Wamiliki wa nyumba za maondeni wakishusha vyombo vyao  jana katika kambo ya Azania kutoka kwenye gari  baada ya kuvitoa kwenye nyumba zao mabondeni, tayari kusubiri magari ya kuwahamisha kwenda kambi nyingine.
 Baadhi ya waathirka wakiwa wamechoka wakisubiri kuhamishwa leo katika kambi ya Shule ya Sekondari ya Azania, Dar es Salaam.
Mtoto akicheza kwenye magodoro alipokuwa akisubiri kuhamishwa jkwenye kambi ya waathirika ya Azania. (PICHA ZOTE NA KAMANDA MWAIKENDA)

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

HAKUNA BINADAMU ALIYESALIMIKA NA UPOFU HUU...

SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA WATANZANIA WATAKAOVAA JEZI ZA MAMELODI AU AL AHLY

ALLY KAMWE AZIMIA KWA MKAPA.

RAIS SAMIA KUZINDUA MKUTANO MKUU WA 79 WA BARAZA LA MICHEZO YA MAJESHI DUNIANI

MIGINGO KISIWA KIDOGO ZAIDI AFRIKA KILICHOGOMBEWA NA UGANDA, KENYA