Rais Dk. Shein afanya Uzinduzi wa Jengo la Uvuvi Pemba

Rais wa Zazibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akikata utepe kama ishara ya uzinduzi wa Jengo jipya la Makao Makuu ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi Pemba katika kijiji cha Weni, Wilaya ya Wete Pemba,katika shamra shamra za miaka 48 ya Mpinduzi matukufu ya Zanzibar.
Rais wa Zazibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akifungua pazia kuashiria uzinduzi wa Jengo jipya la Makao Makuu ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi Pemba katika kijiji cha Weni, Wilaya ya Wete Pemba, lililojengwa kwa msaada wa Benki ya Dunia,ikiwa ni katika shamra shamra za miaka 48 ya Mpinduzi matukufu ya Zanzibar.
Mkurugenzi wa Idara ya Uvuvi,Mussa Aboud Jumbe,akimueleza Rais wa Zazibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,Malengo na madhumuni ,katika sherehe za uzinduzi wa Jengo la Makao Makuu a Wizara ya Mifugo na Uvuvi Pemba,katika kijiji cha Weni,Wilaya ya Wete Mkoa wa Kasakazini Pemba,baada ya kulizindua rasmi sambamba na maadhimisho ya miaka 48 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar. Mkurugenzi wa Idara ya Uvuvi,Mussa Aboud Jumbe,akimpa maelezo Rais wa Zazibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,wakati alipotembelea Jengo la Makao Makuu a Wizara ya Mifugo na Uvuvi Pemba, lililojengwa kwa msaada wa Benki ya Dunia ,katika kijiji cha Weni,Wilaya ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba,baada ya kulizindua rasmi sambamba na maadhimisho ya miaka 48 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
Rais wa Zazibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,akiwapungia mkono wananchi wakati alipowasili katika viwanja vya Jengo la Makao Makuu ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi Weni Pemba, kulizindua rasmi jengo hilo, lililojengwa kwa msaada wa Benki ya Dunia ,ikiwa ni katika shamara shamra za maadhimisho ya miaka 48 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
Wananchi kutoka Vijiji mbali mbali vya Wilaya ya Wete Pemba,wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,alipokuwa akizungumza na wananchi hao wakati wa sherehe za uzinduzi wa Jengo la Makao Makuu ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi Pemba,lililojengwa kwa msaada wa Benki ya Dunia,pia ikiwa ni shamra shamra za Miaka 48 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Waziri wa Mifugo na Uvuvi Said Ali Mbarouk,akimakaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,kuzungumza na wnanchi baada ya kulizindua jingo jipya la Wizara hiyo huko Weni Wete Pemba jana,sambamba na kuadhimisha miak 48 ya Mapinduzi ya Zanzibar.Picha na Ramadhan Othman Pemba.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.