Rais Jakaya Kikwete Ashiriki Mazishi Ya aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalumu (Chadema), Regia Mtema Ifakara Morogoro

Rais Jakaya Kikwete akiweka shada la Maua kwenye kaburi la aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalumu (Chadema), Regia Mtema aliyezikwa katika makaburi ya Mkuya yaliyopo barabara ya Kivukoni kuelekea Ulanga, mjini Ifakara jana
Rais Jakaya Kikwete akiweka udongo kwenye kaburi la aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalumu (Chadema), Regia Mtema aliyezikwa katika makaburi ya Mkuya yaliyopo barabara ya Kivukoni kuelekea Ulanga, mjini Ifakara jana
Rais Jakaya Kikwete(Katikati)Mwenyekiti wa CHADEMA na Mbunge wa Hai Freeman Mbowe(wa tatu kushoto)Naibu katibu Mkuu wa CHADEMA na Mbunge wa Kigoma kaskazini Zitto Kabwe(wa Kwanza Kushoto)na Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Joe Bendera(Wa Tatu Kushoto)na Spika wa Bunge Anne Makinda Wa Pili Kulia akiwa Kwenye Mazishi ya aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalumu (Chadema), Regia Mtema aliyezikwa katika makaburi ya Mkuya yaliyopo barabara ya Kivukoni kuelekea Ulanga, mjini Ifakara. Picha na IKULU

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.