Rais mstaafu wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Ali Hassan Mwinyi Aweka Jiwe la Msingi Katika Jengo la Dakhalia ya Chuo cha Uongozi wa Fedha Chwaka Mkoa wa Kusini Unguja
 
Rais mstaafu wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Ali Hassan Mwinyi akifunua pazia kuashiria uwekaji wa jiwe la msingi katika Jengo la Dakhalia ya Chuo cha uongozi wa Fedha Chwaka Mkoa wa Kusini Unguja ikiwa ni shamra shamra za sherehe ya kutimia miaka 48 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Rais mstaafu wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Ali Hassan Mwinyi akitoa hotuba baada ya kuwekaji Jiwe la Msingi katika chuo cha Uongozi wa Fedha Chwaka Mkoa wa Kusini Unguja ikiwa ni shamra shamra za sherehe ya kutimia miaka 48 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Rais mstaafu wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Ali Hassan Mwinyi akipatiwa maelezo ya ujenzi wa Dakhalia pamoja na kuangalia Ramani ya jengo hilo kwa Mshauri mwelekezi Sabra Ameir Issa huko Chwaka Mkoa wa Kusini Unguja ikiwa ni shamra shamra za sherehe ya kutimia miaka 48 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Rais mstaafu wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Ali Hassan Mwinyi akikagua Jengo la Dakhalia ya chuo cha Uongozi wa Fedha Chwaka Mkoa wa Kusini Unguja ikiwa ni shamra shamra za sherehe ya kutimia miaka 48 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Rais mstaafu wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Ali Hassan Mwinyi akiwa katioka picha ya Pamoja na Mawaziri na Wakandarasi wa Jengo la Dakhalia ya Chuo cha uongozi wa Fedha Chwaka Mkoa wa kusini Unguja ikiwa ni shamra shamra za sherehe ya kutimia miaka 48 ya Mapinduzi ya Zanzibar.Picha na Yussuf Simai-Maelezoi-Zanzibar

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*