RC IRINGA DKT ISHENGOMA ,DC LUDEWA NA MBUNGE FILIKUNJOMBE WAONYESHA MFANO KWA VIONGOZI WENGINE

Mkuu wa mkoa wa Iringa Dkt Christina Ishengoma (kulia) akishirikiana na viongozi na wanachama wa kikundi cha umoja Mawengi kinachojishughulisha na uoteshaji wa miche ya kahawa kupalilia kahawa jana ,kushoto kwake ni mbunge wa jimbo la Ludewa Deo Filikunjombe, na mkuu wa wilaya ya Ludewa Geogina Bundala pamoja na wanachama wa kikundi hicho
Mbunge wa jimbo la Ludewa Deo Filikunjombe akishirikiana na wapiga kura wake kupalilia kahawa ,kushoto ni mkuu wa wilaya ya Ludewa Geogina Bundala
Mkuu wa mkoa wa Iringa Dkt Ishengoma aking'olea nyasi mche wa kahawa
Viongozi tuwe wa mfano kwa sisi wenyewe kushiriki shughuli za kilimo
Mbunge wa jimbo la Ludewa Deo Filikunjombe kushoto na mkuu wa mkoa wa Iringa Dkt Christina Ishengoma kulia wakitazama shamba la kahawa na mkulima wa kijiji cha Mawengi
Makamu mwenyekiti wa Halmashauri ya Ludewa MOnicha Mchilo ,mbunge wa jimbo la Ludewa Deo Filikunjombe na mkuu wa mkoa wa Iringa Dkt Ishengoma wakitazama mashine ya kukoboa kahawa kata ya Mawengi(Kwa hisani ya Blog ya Francis Godwin)

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

HAKUNA BINADAMU ALIYESALIMIKA NA UPOFU HUU...

SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA WATANZANIA WATAKAOVAA JEZI ZA MAMELODI AU AL AHLY

ALLY KAMWE AZIMIA KWA MKAPA.

RAIS SAMIA KUZINDUA MKUTANO MKUU WA 79 WA BARAZA LA MICHEZO YA MAJESHI DUNIANI

MIGINGO KISIWA KIDOGO ZAIDI AFRIKA KILICHOGOMBEWA NA UGANDA, KENYA