ROSE GARDEN DAR MABINGWA WA DARTS

Bingwa wa Mchezaji wa Mmoja Mmoja wa Mashindano ya Taifa ya mchezo wa vishale (Darts) kwa upande wa wanawake,Fabiola Namajojo kutoka Mzinga Mkoani Morogoro,akikabidhiwa kikombe chake cha ushindi huo na Mwenyekiti wa Mchezo wa Vishale (Darts) Taifa,Gesase Waigama wakati wa hafla fupi ya kukabidhi zawadi kwa washindi iliyofanyika kwenye ukumbi wa Rose Garden,mjini Dodoma.

Bingwa wa Mchezaji wa Mmoja Mmoja wa Mashindano ya Taifa ya mchezo wa vishale (Darts) kwa upande wa Wanaume,Aderade Chikoma kutoka mkoani Mbeya,akikabidhiwa kikombe chake cha ushindi huo na Mwenyekiti wa Mchezo wa Vishale (Darts) Taifa,Gesase Waigama wakati wa hafla fupi ya kukabidhi zawadi kwa washindi iliyofanyika kwenye ukumbi wa Rose Garden,mjini Dodoma.

Mmoja wa wachezi wa timu ya Safari kutoka Mkoani wa Mwanza ambao ni Washindi wa Pili wa Mashindano ya Taifa ya mchezo wa vishale (Darts),Umaru Habib akipokea Kombe kwa niaba ya Nahodha wa timu hiyo kutoka kwa Mwenyekiti wa Mchezo wa Vishale (Darts) Taifa,Gesase Waigama wakati wa hafla fupi ya kukabidhi zawadi kwa washindi iliyofanyika kwenye ukumbi wa Rose Garden,mjini Dodoma.

Wachezaji wa Timu ya Safari kutoka Mkoani wa Mwanza ambao ni Washindi wa Pili wa Mashindano ya Taifa ya mchezo wa vishale (Darts) wakishangilia ubingwa wao huo mara baada ya kukabidhiwa kikombe na Mwenyekiti wa Mchezo wa Vishale (Darts) Taifa,Gesase Waigama wakati wa hafla fupi ya kukabidhi zawadi kwa washindi iliyofanyika kwenye ukumbi wa Rose Garden,mjini Dodoma.

Nahodha wa timu ya Rose Garden ya Mkoani Dodoma ambao ndio Mabingwa wapya wa Mashindano ya Taifa ya mchezo wa vishale (Darts) kwa mwaka 2012,Carlos Paranjo akipokea Kombe la ubingwa huo kutoka kwa Mwenyekiti wa Mchezo wa Vishale (Darts) Taifa,Gesase Waigama wakati wa hafla fupi ya kukabidhi zawadi kwa washindi iliyofanyika kwenye ukumbi wa Rose Garden,mjini Dodoma.Wengine ni Baadhi ya wachezaji wa timu hiyo wakiwa na ubao wa Darts ikiwa ni sehemu ya kushangilia ubingwa wao huo.

Mabingwa wapya wa Mashindano ya Taifa ya mchezo wa vishale (Darts) kwa mwaka 2012,wakiwa kwenye meza picha ya pamoja na baadhi ya vingozi wa Taifa wa Mchezo huo wakiongozwa na Mwenyekiti wa Mchezo wa Vishale (Darts) Taifa,Gesase Waigama (wa pili kushoto waliokaa) mara baada ya kukabidhiwa kombe lao wakati wa hafla fupi ya kukabidhi zawadi kwa washindi iliyofanyika kwenye ukumbi wa Rose Garden,mjini Dodoma.Wengine ni Baadhi ya wachezaji wa timu hiyo wakiwa na ubao wa Darts ikiwa ni sehemu ya kushangilia ubingwa wao huo. (picha kwa hisani ya blogu ya Jane Joh)

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

HAKUNA BINADAMU ALIYESALIMIKA NA UPOFU HUU...

SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA WATANZANIA WATAKAOVAA JEZI ZA MAMELODI AU AL AHLY

ALLY KAMWE AZIMIA KWA MKAPA.

RAIS SAMIA KUZINDUA MKUTANO MKUU WA 79 WA BARAZA LA MICHEZO YA MAJESHI DUNIANI

MIGINGO KISIWA KIDOGO ZAIDI AFRIKA KILICHOGOMBEWA NA UGANDA, KENYA