SIMU YA MCHINA YAMLIPUKIA NA KUMUUNGUZA HAULE

Mbunge  wa  Jimbo la  Ludewa,  Deo  Filikunjombe (kulia) akimjulia hali  mfanyabiashara  wa mafuta  katika Kijiji cha Luilo Ludewa,  Joseph  Haule  ambaye  amelipuliwa na mafuta  baada ya  simu  yake ya  kichina  kulipuka,majeruhi  huyo  anatibiwa katika Hospital ya  Wilaya ya Ludewa, mkoani Iringa. (PICHA ZOTE NA FRANCIS GODWIN)
                                            Filikunjombe na baadhi ya wananchi wakimjulia hali Joseph Haule
                                            Joseph Haule akiwa amelazwa Hospitali

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

HAKUNA BINADAMU ALIYESALIMIKA NA UPOFU HUU...

SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA WATANZANIA WATAKAOVAA JEZI ZA MAMELODI AU AL AHLY

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

KOCHA BENCHIKHA AMESEPA

MASHUSHUSHU WA MAMELODI WALIKUJA KUTUPELELEZA: HERSI