TANZANIA YAPATIWA NA JAPAN MSAADA WA KILIMO CHA UMWAGILIAJI


Naibu Waziri wa Fedha, Ramadhan Khijja, akizungumza wakati wa kutia saini na Japan makubaliano ya msaada wa kuiwezesha Tanzania katika mradi wa Kilimo cha Umwagiliaji, Dar es Salaam . Kulia ni Balozi wa Japan nchini, Masaki Okada na katikati ni Kaimu Mkurugenzi, Mkazi wa Benki ya Dunia kwa nchi za Tanzania, Uganda  na Burundi kwa Kanda ya Afrika, ambaye ni mratibu wa mradi huo, Mercy Tembon. (PICHA NA KASSIM MBAROUK)

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

HAKUNA BINADAMU ALIYESALIMIKA NA UPOFU HUU...

SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA WATANZANIA WATAKAOVAA JEZI ZA MAMELODI AU AL AHLY

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

KOCHA BENCHIKHA AMESEPA

MASHUSHUSHU WA MAMELODI WALIKUJA KUTUPELELEZA: HERSI