TUJIKUMBUSHE KAULI TATA ZILIZOWAHI TOLEWA NA VIONGOZI NCHINI



TOP 10 YA KAULI ZENYE CHANGAMOTO...


1. Mtakula hata nyasi ndege ya rais inunuliwe - Mramba
2. Graduates msio na kazi kafugeni kuku biashara inalipa sana – Mahiza
3. Foleni Dar ni ishara ya maisha bora - JK
4. Acheni wivu wa kike – Msekwa
5. Asieweza lipa nauli apige mbizi – Magufuli
6. Baada ya kutumia helcopter ya jeshi kwenda nayo kwao urambo - mlitaka nipande punda – Kapuya
7. Wabunge wa Dar wanafikiria kwa kutumia makalio - Masabuli
9. Mnauliza mvua kwani mi waziri wa mvua - Wassira
10. Kila mwananchi atabeba msalaba wake – Msuya
 
RESERVE:
1. Baada ya kugundulika akaunti yake ya ina mihela – ah.. vile vijisenti tu! – Chenge
2. Ukitaka kula lazima uliwe - JK
3. wanafunzi kupata mimba ni viherehere vyao - JK

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.