Mmiliki wa Blogu hii ya Kamanda wa Matukio, Kamanda Richard Mwaikenda (kushoto) akifurahi na mamake mzazi, Ezelina Ihola pamoja na mkewe Mary Michael katika hafla ya muendelezo wa kuukaribisha mwaka mpya wa 2012 usiku wa kuamkia leo eneo la Kivule, Dar es Salaam.
 Familia ya Kamanda Mwaikenda, ikiwa katika hafla hiyo ya kuupokea mwaka mpya wa 2012. Kutoka kushoto ni Lusekelo, Jackson na Geofrey
                          Mama mzaa chema, Bi. Ezelina akiwa na wajuu wake, Lusekelo (kulia) na Jak
                                            Bibi Ezelina akiwafurahi jambo na mjukuu wake Jack

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.