WAKAZI WA TABATA DAR HATARINI KUFA KWA KIPINDUPINDU

Mkazi wa mtaa wa Tenge, Tabata jijini Dar es Salaam (jina halikupatikana), akitupa taka kwenye dampo lisilo rasmi lililopo katika makazi ya watu na kuhatarisha afya za wakazi hao kutokana na harufu kali inayotoka katika dampo hilo. Kwa mujibu wa wakazi wa eneo hilo taka hizo zimekaa katika eneo hilo kwa muda wa zaidi ya miezi sita huku mamlaka husika zikishindwa kuondoa kero hiyo.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA