WANAHABARI WALIOBAHATIKA KWENDA IKULU MWAKA MPYA 2012

 Mmiliki wa Blogu hii, Kamanda Richard Mwaikenda, akivinjari Ikulu, Januari  pili, mwaka huu.
 Mwandishi wa Habari wa gazeti la Uhuru, Celina Wilson, naye alibahatika siku hiyo kufika Ikulu, Dar es Salaam.
 Mwandishi wa Habari wa gazeti la Tanzania Daima, Hellen Ngolomera naye alikuwa miongoni mwa wana habari waliotinga Ikulu, siku hiyo wakati wa hafla ya kuwaapisha makatibu
 Said Mwishehe wa gazeti la Jambo Leo, siku hiyo alifurahi kunusa Ikulu
Jopo la wanahabari likitoka Ikulu, Dar es Salaam baada ya kumaliza kazi waliyotumwa na wananchi

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

HAKUNA BINADAMU ALIYESALIMIKA NA UPOFU HUU...

SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA WATANZANIA WATAKAOVAA JEZI ZA MAMELODI AU AL AHLY

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KOCHA BENCHIKHA AMESEPA

MASHUSHUSHU WA MAMELODI WALIKUJA KUTUPELELEZA: HERSI

KOCHA WA AL.AHLY ASEMA YANGA NI TIMU BORA NA NGUMU