WANANCHI WAFANYA VURUGU KUTAKA MIPAKA YA WAKULIMA NA WAFUGAJI KILOSA

Polisi wakiwakamata vijana waliofanya fujo wakati wa mkutano wa Mkuu wa Wilaya ya Kilosa, Mkoa wa Morogoro, Halima Dendego (hayupo pichani) katika Kijiji cha Msowero, baada ya wananchi wa Vijiji vya Mambegwa na Msowero kufunga Barabara ya Kilosa- Dumila kwa magogo na mawe wakishinikiza kusikilizwa madai yao ya migogoro ya mipaka ya vijiji vya wafugaji na wakulima juzi. (PICHA YA BLOG YA HAKI NGOWI)

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.