WASANII WATAKIWA KUDAI MIKATABA KABLA YA KUSHIRIKI MATUKIO

Mkurugenzi Idara ya Ukuzaji Sanaa BASATA, Vivian Nsao Shalua  akizungumza na wadau wa Sanaa katika Jukwa la Sanaa linalofanyika kila wiki makao makuu ya Baraza hilo. Kulia ni Afisa Habari wa BASATA Aristide Kwizela.
 

Mdau wa Sanaa akichangia kwa hisia kali wakati wa mjadala uliohusu matukio na matamasha mbalimbali ya Sanaa na Burudani nchini kwenye Jukwaa la Sanaa.
  Mkurugenzi wa Idara ya Mfuko na Uwezeshaji, BASATA Angelo Luhala aksisitiza jambo wakati akieleza haja ya Wasanii kudai mikataba kabla ya kushiriki tukio au onyesho lolote la Sanaa.
 

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.