WATOTO WA KAMANDA MWAIKENDA WAUPOKEA MWAKA MPYA PAMOJA NA BABU NA BIBI

Mtoto Tusekile Mwaikenda (mwaka mmoja na miezi miwili), akiwa na furaha baada ya kuuona mwaka mpya wa 2012 leo.
Mtoto Tusekile 'Tuse' akiwa na Babu yake Michael Mbaya nyumbani kwa Kamanda Mwaikenda, Kivule, Dar es Salaam.
Mtoto mwingine wa Kamanda Mwaikenda, Ezelina (miaka mitatu na nusu), akitabasamu baada kusikia kuwa amevuka vyema mwaka 2011 kuingia mwaka mpya wa 2012 leo.


Mtoto Ezelina 'Lina' akiwa amepakatwa na Bibi yake mzaa mama, Anastazia nyumbani kwa Kamanda Mwaikenda, Kivule, Dar es Salaam leo

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.