Waziri wa Mazingira,Dk. Terezya Huvisa afanya mkutano na wakulima bonde la kilombero
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira Dk
Terezya Huvisa akihutubia wananchi wa kijiji cha Utete Njiwa Jimbo la Ulanga
Mashariki Wilaya Ifakara kuhusu Wakulima Waliovamia Mashamba ya Bonde la Mto
Kilombero Mkoani Morogoro[Picha na Ali Meja]
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira Dkt
Terezya Huvisa akimsikiliza Jambo Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Haji Mponda
ambaye ni Mbunge wa jimbo la Ulanga Mashariki Wakati wa Mkutano wa Hadhara
uliofanyika kijiji cha Lugala kuhusu Mashamba ya wakulima wa Bonde la kilombero
Wilayani Ifakara Mkoani Morogoro kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Kilombero Bw Francis
Miti.[Picha na Ali Meja]
Comments