YANGA KUJENGA GHOROFA JIPYA KARIAKOO



Mwenyekiti wa Yanga, Lloyd Nchunga, akibadilishana hati na Mkurugenzi Mtendaji wa NEDCO, Dk. Ambwene Mwakyusa kwa ajili ya makubaliano ya utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa jengo la Yanga katika mtaa wa mafia jijini Dar es Salaam. Hafla hiyo imefanyika leo jijini Dar es Salaam. (PICHA NA  BLOG YA JANE JOHN)

Mwenyekiti wa Yanga, Lloyd Nchunga, Mkurugenzi Mtendaji wa NEDCO, Dk. Ambwene Mwakyusa na Kulia ni Katibu Mkuu wa klabu hiyo, Mwesigwa Selestine.

Mwenyekiti wa Yanga, Lloyd Nchunga, na Mkurugenzi Mtendaji wa NEDCO, Dk. Ambwene Mwakyusa

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA