ZIARA YA NAIBU WAZIRI WA VIWANDA,BIASHARA NA MASOKO LAZARO NYALANDU JIMBONI KWAKE

Naibu Waziri wa Viwanda na masoko Lazaro Nyalandu akizungumza na wananachi katika eneo la mradi wa maji katika kijiji cha Migugu jana.
Naibu Waziri wa viwanda, Biashara na masoko wa (pili) Lazaro Nyalandu akiongozana na mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya Wilaya ya Singida Illuminata Mwenda wa kwanza wakielekea kwenye mradi wa maji katika shsule ya msingi Migugu.
Gari la Naibu Waziri wa viwanda, biashara na masoko Mhe.Lazaro Nyalandu likiwa limekwama katika eneo la kijiji cha Migugu Kata ya Makuro Tarafa ya Mtinko Singida vijijini wakati Naibu Waziri akienda kukagua mradi wa maji katika shule ya Migugu.
Wananchi wa kijiji cha Kijota wakimpa zawadi ya Mbuzi Mbunge wao Lazaro Nyalandu mara baada ya akauhutubia wananchi hao.
Naibu Waziri wa Viwanda na masoko Lazaro Nyalandu akizungumza na wananchi pamoja na wanafunzi wa shule za sekondari za Kijota, na Hull kwenye mkutano wa hadhara wakati wa ziara yake ya kikazi ya siku moja jimboni kwake.
Wananchi wakimsikiliza Mbunge wa Jimbo la Singida Kaskazini Lazaro Nyalandu
Wanafunzi wakimsikiliza Mbunge wa Jimbo la Singida Kaskazini Lazaro Nyalandu

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

HAKUNA BINADAMU ALIYESALIMIKA NA UPOFU HUU...

SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA WATANZANIA WATAKAOVAA JEZI ZA MAMELODI AU AL AHLY

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

KOCHA BENCHIKHA AMESEPA

MASHUSHUSHU WA MAMELODI WALIKUJA KUTUPELELEZA: HERSI