BAILEYS (VALENTINES DAY) ILIVYOFANA HYYAT REGENCY HOTEL

Mwanamuziki Yvonne Mwale kutoka Zambia akitumbuiza katika sherehe za valentine zilizo andaliwa na kampuni ya bia ya serengeti kupitia Kinywaji cha Baileys jijini Dar juzi.
Afisa muwakilishi wa kinywaji cha Baileys Bi.Azda Imani akitoa mada katika sherehe ya valentine ilizoandaliwa na kampuni ya bia ya serengeti kupitia kinywaji cha Baileys jijini Dar juzi.
Meneja mkuu wa shirika la ndege la FLY 540 nchini Bw. Brown Francis akikabidhi zawadi ya tiketi ya ndege kwa mmoja wa washiriki wa sherehe ya valentine iliyoandaliwa chini ya udhamini wa kampuni ya bia ya serengeti juzi.
Watu mbalimbali waliohudhuria sherehe ya usiku wa valentine ulioandaliwa na kampuni ya bia ya serengeti kupitia kinywaji cha Baileys jijini Dar juzi
Watu walioshiriki katika sherehe za valentine wakibadishana mawazo wakati wa sherehe hizo juzi.
Baadhi ya wa watu waliohudhuria usiku wa valentine ulioandaliwa chini ya udhamini wa kampuni ya bia ya serengeti kupitia kinywaji cha Baileys jijini Dar.
Baadhi ya wa watu waliohudhuria usiku wa valentine ulioandaliwa chini ya udhamini wa kampuni ya bia ya serengeti kupitia kinywaji cha Baileys jijini Dar.. (PICHA KWA HISANI YA FUULL SHANGWE BLOG)

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.