DKT BILAL AANZA ZIARA YA MKOA WA IRINGA


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiweka jiwe la Msingi katika Soko lililojengwa kwa nguvu za wananchi la Mfumbi, baada ya kuwasili Wilaya ya Makete kuanza ziara ya siku tatu mkoani Iringa jana Februari 27, 2012. Picha na Muhidin Sufiani-OMR
Makamu wa Rai wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipanda mti wa matunda wa kumbukumbu katika eneo la Chuo cha VETA cha Wilayani Makete mkoa wa Iringa, baada ya kuweka jiwe la msingi katika chuo hicho ikiwa ni siku ya kwanza ya ziara yake ya mkoani Iringa jana Februari 27, 2012. Picha na Muhidin Sufiani-OMR

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

HAKUNA BINADAMU ALIYESALIMIKA NA UPOFU HUU...

SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA WATANZANIA WATAKAOVAA JEZI ZA MAMELODI AU AL AHLY

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KOCHA BENCHIKHA AMESEPA

MASHUSHUSHU WA MAMELODI WALIKUJA KUTUPELELEZA: HERSI

KOCHA WA AL.AHLY ASEMA YANGA NI TIMU BORA NA NGUMU