Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiweka Jiwe la Msingi wakati alipofika kukagua mradi wa ujenzi wa nyumba 14 za Watumishi eneo la Lugongwe, Utete Wilaya ya Rufiji leo Januari 01, 2012, alipoanza ziara yake ya Mkoa wa Pwani. Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Mwantum Mahiza.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akifurahia ngoma ya asli ya kabila la Kisukuma, wakati wa makaribisho yake alipowasili mji mdogo wa Utete Makao Makuu ya Wilaya ya Rufiji kwa ajili ya kuanza ziara yake ya Mkoa wa Pwani leo Januari 01, 2012.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akitembelea na kukagua mradi wa ujenzi wa Nyumba 14 za watumishi, zinazoendelea kujengwa eneo la Lugongwe, Utete Wilaya ya Rufiji, akiwa katika ziara yake ya Mkoa wa Pwani leo Januari 01, 2012. Picha na Muhidin Sufiani-Ofisi Ya Makamu Wa Rais

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.