JK AREJEA NCHINI KUTOKA BOTSWANA

Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwapungia mkono wananchi wa Botswana wakati akindoka nchini humo kurejea jijini Dar es Salaam leo.Kushoto kwake ni Mwenyeji wake,Rais wa Botswana,Luteni Jenerali Seretse Khama Ian Khama.



Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete awa katika mazungumzo na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,Mh. Meck Said Meck Sadick wakati alipowasiri nchini leo akitokea nchini Botswana alikohudhuria Sherehe za Miaka 50 ya kuzaliwa kwa Chama Tawala cha nchi hiyo.Wengine Pichani ni Viongozi Mbali mbali wa Serikali waliofika kumpokea Rais Kikwete leo.











Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,Mh. Meck Said Meck Sadick wakati alipowasiri nchini leo akitokea nchini Botswana alikohudhuria Sherehe za Miaka 50 ya kuzaliwa kwa Chama Tawala cha nchi hiyo.









Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais-Mahusiano na Uratibu,Mh. Stephen Wassira wakati alipowasiri nchini leo akitokea nchini Botswana alikohudhuria Sherehe za Miaka 50 ya kuzaliwa kwa Chama Tawala cha nchi hiyo.Wengine Pichani ni Waziri wa Mambo ya Nje Ushirikiano wa Kimataifa,Mh. Bernard Membe (wa pili kushoto),Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaa,Suleiman Kova (kushoto).










Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*