JK AWASILI BOTSWANA LEO

Rais Jakaya Kikwete akilakiwa na Rais wa Botswana Luteni generali Seretse Khama alipowasili Uwanja wa Ndege wa Sir Serese Khama jijini Gaberone, Botswana leo, kwa ziara ya kikazi ya siku mbili ambapo pia alihudhuria sherehe za miaka 50 ya Uhuru wa nchi hiyo.
JK akikagua gwaride la heshima
Rais Jakaya Kikwete akilakiwa na wananchi alipowasili alipowasili Uwanja wa Ndege wa Sir Serese Khama jijini Gaberone, Botswana, kwa ziara ya kikazi ya siku mbili ambapo pia alihudhuria sherehe za miaka 50 ya Uhuru wa nchi hiyo

Rais Jakaya Kikwete akiangalia ngoma ya makhirikhiri alipowasili Uwanja wa Ndege wa Sir Serese Khama jijini Gaberone, Botswana, kwa ziara ya kikazi ya siku mbili ambapo pia alihudhuria sherehe za miaka 50 ya Uhuru wa nchi hiyo.

Wananchi wa Botswana wakimlaki JK

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA