KATIBU MKUU WA TFF, ANGETILE OSIAH AENDA INDIA KUFANYIWA UPASUAJI WA KICHWA


Katibu Mkuu wa Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF), Angetile Osiah ameondoka juzi kwenda nchini India kufanyiwa upasuaji wa kichwa katika Hospitali ya Apollo.

Osiah hivi karibuni alilazwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, kitengo cha Taasisi ya Tiba ya Mifupa (MOI), ambapo alilazwa kwa kusumbuliwa na uvimbe kichwani.

Upasuaji huo umetokana na ushauri wa madaktari waliokuwa wana mpatia matibabu katika Taasisi hiyo.

Uongozi wa Blog ya Kamanda wa Matukio unamtakia matibabu mema na unaamini kuwa Mungu atamjalia, Amina.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

GSM ARIDHIA UJENZI WA UWANJA WA YANGA JANGWANI

WACHEZAJI YANGA WAGOMA KABISA KUFANYA MAZOEZI LEO, LWANDAMINA AIBUKA PEKE YAKE SHAMBA LA BIBI

DKT. MAJULE AMFANYIA MAPOKEZI MAKUBWA BALOZI WA CHINA NCHINI

IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA

Kizza Besigye ‘akamatwa’ tena Uganda

Wasifu wa Kizza Besigye

HERSI KWENDA KUSOMA TENA CHUO KIKUU CHA OXFORD UINGEREZA