Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Mohammed Gharib Bilal, akielekezwa na mtafiti bingwa Duniani wa Masokwe, Jane Goodall, kuhusu ishara anazozitumia kuwasiliana na Masokwe na jinsi ya kuzungumza nao, wakati alipofika Ikuu ndogo ya Wilaya ya Mpanda mkoa wa Katavi jana.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Mohammed Gharib Bilal, akielekezwa na mtafiti bingwa Duniani wa Masokwe, Jane Goodall, kuhusu ishara anazozitumia kuwasiliana na Masokwe na jinsi ya kuzungumza nao, wakati alipofika Ikuu ndogo ya Wilaya
ya Mpanda mkoa wa Katavi jana.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipokea zawadi ya kitabu cha mtafiti bingwa duniani wa Masokwe, Jane Goodall, aliyefika Ikulu ndogo ya Wlaya ya Mpanda mkoa wa Katavi jana kwa ajili ya mazungumzo. Jane amekaa nchini kwa miaka 50 akifanya utafiti katika mapori ya Gombe na Mahale yaliyopo mkoa wa Kigoma na Katavi.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal na mkewe Mama Asha Bilal, wakizungumza na Mtafiti bingwa wa Masokwe Duniani, aliyekaa nchini kwa miaka 50 akifanya utafiti wa Masokwe katika Mapori ya Gombe na Mahale, Jane Goodall, wakati alipofika Ikulu ndogo Wilaya ya Mpanda mkoa wa Katavi kwa ajili ya mazungumzo jana.
Picha ya pamoja baada ya mazungumzo.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

HAKUNA BINADAMU ALIYESALIMIKA NA UPOFU HUU...

SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA WATANZANIA WATAKAOVAA JEZI ZA MAMELODI AU AL AHLY

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

KOCHA BENCHIKHA AMESEPA

MASHUSHUSHU WA MAMELODI WALIKUJA KUTUPELELEZA: HERSI