MAMAKE BLANDINA NYONI AAGWA DAR

Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, aliyesimamishwa kazi, Blandina Nyoni akifarijiwa na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali, Ludivick Utouh, baada ya ibada ya maalumu ya kuuombea mwili wa mamake, marehemu Esther Badi leo katika Kanisa la Kilutheri la Azania Front, Dar es Salaam, kabla ya kusafirishwa kwenda kwao Ilembula, Iringa kwa mazishi
Askofu Mkuu wa KKKT, Dk. Alex Malasusa (kulia) akijadiliana jambo na Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Mponda, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Sadick (kushoto) na Waziri Mkuu mstaafu Frederick Sumaye wakati wa shughuli ya kutoa heshima za mwisho kwa marehemu Esther Badi.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Wazri Mkuu (Bunge, Uratibu na Siasa), William Lukuvi akimfariji Blandina Nyoni
Blandina Nyoni akisaidiana na ndugu zake kuwefunika jeneza la mwili wa mamake.
William Lukuvi akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa marehemu Esther badi

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.