MAMBO YA BUKOBA, MKOANI KAGERA

HII INASIKITISHA SANA TENA SANA NA NI AIBU KISA GARI LA TAKATAKA NI BOVU!!!!

Haaahhh!!!!Nashangazwa na Ghuba la eneo hili ikiwa ni siku ya pili toka tumeliongelea.....
Jioni ya leo imeniladhimu kupitia eneo la Ghuba hili la kuifadhia takataka ni baada ya kupata msg nyingi kwenye simu yangu kuhusiana na kile nilicho kiongelea jana kuhusu uchelewaji wa kuzoa taka.

Msg moja ikitoka kwa mdau wa kitengo cha Mazingira hapa Manispaa AKILAUMA kwamba eneo likiwa safi hatusemi na wala hatuweki picha.

Binafsi nilidhani swala hili wamelishughulikia hivyo ikaniladhimu kufika ili nipate ata picha mbili tatu badala yake nakutana na harufu mbaya ya Uchafu uliolundikana zaidi ya jana.!!

HII INATIA AIBU KWENU MANISPAA MSICHUKULIE KAWAIDA KISA NINAE SEMA NI MC BARAKA MLIE MZOEA !!!!! . Chanzo;BUKOBAWADAU BLOG

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA