MFUKO WA TAIFA WA BIMA YA AFYA WAANZA KUHUJUMIWA

Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya, Emmanuel Humba (katikati) akielezea udanganyifu wa vitambulisho vya matibabu unaofanywa na baadhi ya wanachama wa mfuko huo.Kushoto ni Naibu Mkurugenzi Mkuu wa NHIF, Hamis Mndee na Mkurugenzi wa Fedha na Uwekezaji, Deusdedit Rutazaa. (PICHA NA GRACE MICHAEL)

Mkurugenzi wa Uendeshaji wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), Eugen Mikongoti (kulia) akifafanua jambo kwa waandishi wa habari Dar es Salaam, kuhusu udanganyifu wa vitambulisho vya matibabu unaofanywa na baadhi ya wanachama wa mfuko huo. Kutoka kushoto ni Naibu Mkurugenzi Mkuu wa NHIF, Hamis Mndee, Mkurugenzi Mkuu wa NHIF, Emmanuel Humba na Mkurugenzi wa Fedha na Uwekezaji, Deusdedit Rutazaa. (PICHA NA GRACE MICHAEL)

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.