ONYESHO LA LADY IN RED RELOADED 2012 LAFANA SANA SERENA HOTEL DAR ES SALAAM USIKU HUU

Mwandaaji wa onyesho la mavazi la 'Lady in Red' Reloaded 2012 Asia Idarous akiwa katika picha ya pamoja na mume wake Bw. Wa Hamsini katika onyesho hilo lilinalofanyika usiku huu kwenye hoteli ya Serenea Dar es salaam jijini Dar es salaam, onyesho hilo pia litatumika kuchangisha fedha kwa ajili ya kujenga kituo cha kuhudumia watu walioathirika na madawa ya Kulevya hapa nchini. kitakachojengwa huko Kikale, Rufiji mkoani Pwani
Mmoja wa wanamitindo akipita na moja ya mavazi yaliyobuniwa kwa ajili ya siku ya wapendanao katika onyesho la mavazi la Lady In Red jijini Dar es salaam.
Mmoja wa wabunifu akipita jukwaani na mwanamitindo aliyeonyesha vazi alilobuni.
Mkurugenzi wa Benchmark Production Ritah Paulsen akiwa katika pozi na kivazi chake.
Mshereheshaji wa onyesho hilo akitoa ratiba ya onyesho hilo siku huu katika hoteli ya Serena Dar es salaam.
Mtangazaji wa Clouds TV akifanya mahojiano na warembo wa zamani Jaquiline Patrick na mrembo Lisa Jensen katika onyesho hilo.
Wadau kutoka Africa Media Group wakifurahia jambo katika onyesho hilo.
Msanii Chid Benz kulia na rafiki yake Koba wakiwa katika onyesho hilo.
Wapenzi mbalimbali wa masuala ya mitindo wakiwa katika onyesho hilo.
Kutoka kulia ni Mange Kimambi, Kisa na Loveness mdau mkubwa wa masuala ya urembo ambaye kwa sasa yuko Liberia kikazi.
Jaquiline Patrick na mrembo Lisa Jensen wakipozi kwa picha katika onyesho hilo. (Picha zote kwa hisani ya Blog ya Fullshangwe)

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.