POLISI WA FIRE WAMPA MKONG'OTO DEREVA ALIYEWAONESHA DOLE LA KATI

Dereva Jerry Mshana (katikati) aliyekuwa anaendesha gari aina ya Suzuki Maruti namba T 579 BXJ akiwa chini ya ulinzi wa Askari Polisi wa Kikosi cha Zimamoto na Uokoaji, baada ya kukamatwa kwa madai ya kuwatukana kwa kuwaonesha kidole cha kati wakati gari la kikosi hicho namba SM 9482 lilipompita visivyo kawaida eneo la Fire, Dar es Salaam leo. (PICHA NA KHAMIS MUSSA)


Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*