Ubaguzi kwenye kandanda utajadiliwa

Waziri Mkuu wa Uingereza, David Cameron, atafanya mkutano wa maafisa wahusika, kuhusu ubaguzi katika kandanda.Hayo yanafuatia visa kadha kama hivyo kwenye michezo.

Mkutano utajumuisha wawakilishi wa wachezaji na wakuu wa kandanda.

Tangazo hilo limekuja baada ya mchezaji mpira wa Uingereza, John Terry, kunyan'ganywa unahodha juma lilopita, kwa sababu ya shutuma kuwa alimtusi mchezaji mweusi.

Hatua ya Shirika la Kandanda la Uingereza kukataa John Terry kuwa nahodha wa timu ya Uingreza, ilipelekea meneja wa timu, Fabio Capello kujiuzulu, ambaye hajakubalina na uamuzi wa Shirika la Kandanda.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA