WAISLAMU WAANDAMANA KUSISITIZA UVAAJI NGUO ZA HESHIMA

Mwanafunzi wa shule ya sekondari ya Jabal-Hira seminari akiwa amebeba bango lenye picha ya msichana ambaye mavazi yake yanapingana na uvaaji wa mavazi yenye heshima wakati wa maandano ya kuhamasisha wanawake nchini kuvaa mavazi yenye heshima ambayo yaliandaliwa na kamati ya uhamasishaji na usimamizi wa maadili mema nchini makao makuu masjid Nuhu Mbagala jijini Dar es Salaam mkoani hapa.
Waumini wa dini ya kiislam Manispaa ya Morogoro wakiwa katika maandamano wakati wakihamasisha wanawake nchini kuvaa mavazi yenye heshima ambayo yaliandaliwa na kamati ya uhamasishaji na usimamizi wa maadili mema nchini makao makuu masjid Nuhu Mbagala jijini Dar es Salaam mkoani hapa. Chanzo; Juma Mtanda Blog

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*