WENYEJI WA MABWEPANDE WATINGA IKULU KUDAI FIDIA

Wakazi wa Mabwepande ambao waliondolewa katika eneo hilo kuwapisha waathirika wa mafuriko yaliyolikumba jiji la Dar es Salaam mwishoni mwa mwaka jana, wakiwa nje ya lango kuu la kuingia Ikulu leo, walipofika kumuona Rais Kikwete ili kupeleka malalamiko ya kubomolewa nyumba zao na na kukosa mahali pa kuishi

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

HAKUNA BINADAMU ALIYESALIMIKA NA UPOFU HUU...

SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA WATANZANIA WATAKAOVAA JEZI ZA MAMELODI AU AL AHLY

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

KOCHA BENCHIKHA AMESEPA

MASHUSHUSHU WA MAMELODI WALIKUJA KUTUPELELEZA: HERSI