BINGWA WA TAIFA WA DARTS APATIKANA

Mchezaji wa timu ya Darts mkoa wa Mwanza akirushale kwenye mchezozo wa fainali wa mashindano ya safari lager Darts

championship yaliyofanyika jijini mwanza usiku wa kuamkia leo.
 

Mgeni rasmi wa fainali za safari darts ngazi ya Taifa Afisa utamaduni wa mkoa wa Mwanza Rosemary Makenke akikabidhi zawadi kwa mabingwa wa mashindano hayo Taifa timu toka mkoa wa Mwanza baada ya kufanikiwa kuibuka washindi wa jumla kwenye wa fainali wa mashindano ya safari lager Darts championship yaliyofanyika jijini mwanza usiku wa kuamkia leo

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

HAKUNA BINADAMU ALIYESALIMIKA NA UPOFU HUU...

SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA WATANZANIA WATAKAOVAA JEZI ZA MAMELODI AU AL AHLY

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KOCHA BENCHIKHA AMESEPA

MASHUSHUSHU WA MAMELODI WALIKUJA KUTUPELELEZA: HERSI

KOCHA WA AL.AHLY ASEMA YANGA NI TIMU BORA NA NGUMU