BREAKIIIING NEWSSSSS, COSTER YAUA 6 NA KUJERUHI 46 KIBAHA

Habari zilizotufikia punde ni kwamba gari la abiria aina ya Coaster inayofanya safari kati ya Morogoro -Dar, imepata ajali mbaya katika eneo la Kibaha, Pwani jioni hii, ambapo imeua watu 6 na kujeruhi watu 46.

Inadaiwa ajali hiyo imetokea wakati dareva wa Coaster, akijitahidi bila mafanikio kuikwepa Bajaj iliyokuwa mbele yake.. Wadau tunaahidi kuwaletea habari zaidi juu ajali hiyo kadri tutakavyokuwa tunazipata kupitia vyanzo vyetu

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*