Cargo Stars yashinda Tuzo ya Teknolojia, Ubora na Ugunduzi

Waandaaji wa Tuzo za Teknolojia, Ubora na Ugunduzi, Otherways Association ya Ufaransa, wakiwa katika hafla ya utoaji wa tuzo jijini Berlin, Ujerumani, Hoteli ya Intercontinental. (Picha zote na Mpigapicha Wetu)

Washiriki katika utoaji wa tuzo hiyo kutoka Tanzania, Viola Lema (kulia) na Lulu Komanya wa Kampuni ya Cargostars ya jijini Dar es Salaam, wakiwa katika hafla hiyo.


Baadhi ya washiriki wa tuzo hizo, wakiwa katika hafla hiyo.


Baadhi ya washiriki kutoka nchi na makampuni mbalimbali wakiwa katika hafla hiyo.


Viola Lema (katikati) na Lulu Komanya wa Kampuni ya Cargostars, wakipokea tuzo hiyo kwaniaba ya kampuni yao kutoka kwa Rais wa Kampuni iliyoandaa tuzo hizo, Charles Tabet. .


Washiriki kutoka Tanzania, Kenya na Poland, wakiwa na Rais wa Kampuni iliyoandaa tuzo hizo, Charles Tabet (wa tatu kushoto) pamoja na tuzo zao.


Baadhi ya washiriki kutoka baadhi ya nchi zilizotunukiwa tuzo hizo, wakiwa katika picha ya pamoja wakati wa hafla hiyo.


Washiriki waliotunukiwa tuzo hizo wakiwa katika picha ya pamoja, mara baada ya kukabidhiwa tuzo hizo.

Mwakilishi wa Kampuni ya Cargostars Limited, Viola Lema, akitoa maelezo mafupi kuhusu kampuni yao hiyo wakati wa hafla hiyo.

Mwakilishi wa Kampuni ya Cargostars Limited, Viola Lema, akipokea cheti cha Ubora katika shughuli za Huduma bora kwa wateja kutoka kwa Rais wa Kampuni iliyoandaa tuzo hizo, Charles Tabet.


Baadhi ya waliotunukiwa vyeti hivyo, wakionesha vyeti vyao.


Washiriki waliotunikiwa vyeti wakiwa katika picha ya pamoja na vyeti vyao kwenye hafla hiyo.


Rais wa Kampuni iliyoandaa tuzo hizo, Charles Tabet, akiwa ameshikilia tuzo aliyotunukiwa na baadhi ya Makampuni yaliyotunukiwa tuzo hizo.


Mtunukiwa tuzo kutoka Misri, Eng. Wahid Michel wa Kampuni ya AL AMAR Consulting Group.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.