JAMBO LEO ILIVYOINYANYASA FREE MEDIA NSSF CUP



Mchezaji wa Jambo Leo Juma Pinto akiumiliki mpira mbele ya mchezaji wa Free Media, Martin Malera (kulia) wakati wa mchezo wao leo. (PICHA NA DOTTO MWAIBALE)  



Baadhi ya wachezaji wa akiba wa timu ya soka ya Jambo Leo wakiwa katika benchi lao wakifuatilia mchezo wa timu yao dhidi ya Free Media, katika mashindano Vyombo vya Habari ya kuwania Kombe la NSSF, katika viwanja vya TCC Club. Jambo Leo iliifunga Free Media magoli 8-1.
 Pinto akiendelea kunyanyasa
 Mshambuliaji wa Jambo Leo, Julius Kihampa akimtoka Mohamed Masenga wa Free Media.(PICHA NA DOTTO MWAIBALE)  





Mchezaji Martine Malera wa Free Media, akishangilia bao la kufutia machozi  alilofunga dhidi ya magoli 8 waliyofungwa na Jambo Leo. (PICHA NA RICHARD MWAIKENDA)

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.