JK ASHIRIKI MAZISHI YA ALIYEKUWA MKUU WA WILAYA YA LINDI MAREHEMU CHIWILE

:Rais  Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akitoa heshima zake za Mwisho kwa aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Liwale Marehemu Victor Paul Chiwilewakati wa mazishi Kibaha Picha ya Ndege mkoa wa Pwani leo Machi 26, 2012
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Makamu wa Rais Dkt Mohamed Gharib Bilal, Waziri Mkuu Mh Mizengo Pinda, Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mh Mwantumu Mahiza na Mkuu wa Mkoa wa Lindi wakiwa mazikoni
Rais Jakaya Kikwete akiweka shada la maua kwenye kaburi la aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Liwale Marehemu Victor Paul Chiwile wakati wa mazishi Kibaha Picha ya Ndege mkoa wa Pwani leo Machi 26, 2012

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*