JK ATOA TUZO KWA WANAHABARI MAHIRI TANZANIA 2011

Rais Jakaya Kikwete (kulia) akimkabidhi mshindi wa jumla wa Tuzo za Umahiri na Uandishi Bora (EJAT) 2011, Neville Meena, mfano wa hundi yenye thamani ya dola 4,000 za kimarekani katika hafla ya kuwatunuku wanahabari walioshinda tuzo hizo, usiku wa kuamkia leo Dar es Salaam.
 JK akimkabidhi tuzo ya ushindi wa jumla wa EJAT, Neville Meena wa gazeti la Mwananchi
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Executive Solutions, Aggrey Marealle akimkabidhi Khamis Said Hamad wa Uhuru Publications tuzo baada ya kutangazwa mpigapicha bora katika Tuzo za Umahiri na Uandishi Bora (EJAT) 2011 Jijini Dar es Salaam. Executive Solutions ni moja ya makampuni yaliyodhamini tuzo hizo.
Mkurugenzi wa Kituo cha Redio cha Spoti FM cha Dodoma, Abdalah Majura akifurahia tuzo baada ya kuibuka mshindi wa habari za michezo na utamaduni upande wa Redio. Anayemsindikiza ni Absalom Kibanda Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri (TEF), aliyemkabidhi tuzo hiyo.
 Mengi akimkabidhi tuzo mwandishi wa habari wa gazeti la Habari Leo, Mwanza





Mkurugenzi wa Mfuko wa Afya ya Jamii (CHF) wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya, Athuman Rehani (kulia) akimkabidhi tuzo Polycarp Machira ambaye alishinda kuandika habari yenye mvuto.
Rais Jakaya Kikwete (kulia) akimzawadia Fili Karashani mfano wa hindi yenye thamani ya sh. mil. 10, baada ya kuwa mshindi wa Tuzo ya Maisha ya Mafanikio ya Tasnia ya Habari Tanania. Kutoka kushoto ni Eddah Sanga na Ben Kiko walioshindanishwa naye.

 JK akikabidhiwa zawadi katika hafla hiyo
 Baadhi ya wageni waalikwa
 JK akizzungumza na Mwenyekiti wa wamiliki wa Vyombo vya Habari Tanzania (MOAT), Rginald Mengi
                                                                            Ni wakati wa msosi


 Awaichi Mawalla wa Kampuni ya simu ya Zantel, akiwa na mdogo wake Aika Mawalla waOfisa Mtendaji wa CCBRT wakati wa kuchukua msosi

 Kiongozi wa bendi ya Msondo, Muhidin Gurumo akifanya vitu vyake. Hivi karibuni alilazwa kwa matibabu Muhimbili
JK AKISALIMIANA NA BAADHI YA WADHAMINI WA TUZO HIZO

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.