JK AWAAPISHA MAKATIBU TAWALA WA MIKOA

Rais Jakaya Kikwete akimwapisha Katibu Tawala mpya wa Mkoa wa Mbeya, Mariam Mtunguja, Ikulu, Dar es Salaam leo. Katika hafla hiyo Rais aliwaapisha pia makatibu Tawala wa mikoa mingine kama ifuatavyo, Dk. Faisal Issa (Kilimanjaro), Eliya Ntandu(Morogoro), Severine Kahitwa (Geita), Emmanuel Kalobelo (Katavi), Hassan Bendeyeko (Ruvuma) na Dk. Anselem Tarimo (Shinyanga). (PICHA NA FREDDY MARO)

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

HAKUNA BINADAMU ALIYESALIMIKA NA UPOFU HUU...

SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA WATANZANIA WATAKAOVAA JEZI ZA MAMELODI AU AL AHLY

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

KOCHA BENCHIKHA AMESEPA

MASHUSHUSHU WA MAMELODI WALIKUJA KUTUPELELEZA: HERSI