KAMPUNI YA KUYEYUSHA SHABA YAINGIA NCHINI

Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya kuyeyusha shaba Tanzania ya Danformation Tanzania Ltd, Joshua Dalgaard akionesha kipeperushi kinachoonesha madini ya shaba  katika mkutano na waandishi wa habari, Dar es Salaam leo, kuhusu mchango wa  kampuni hiyo katika kuinua uchumi wa Taifa pamoja na kuitambulisha kampuni kwa Umma. Kushoto ni Mkurugenzi Msaidizi wa kampuni hiyo, Christopher Msengi.  (PICHA NA KAMANDA MWAIKENDA)
Mtendaji Msaidizi wa Kampuni hiyo, Christopher Msengi  (kushoto) akifafanua jambo wakati wa mkutano huo. Kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa kampuni hiyo, Joshua Dalgaard

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

HAKUNA BINADAMU ALIYESALIMIKA NA UPOFU HUU...

SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA WATANZANIA WATAKAOVAA JEZI ZA MAMELODI AU AL AHLY

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KOCHA BENCHIKHA AMESEPA

MASHUSHUSHU WA MAMELODI WALIKUJA KUTUPELELEZA: HERSI

KOCHA WA AL.AHLY ASEMA YANGA NI TIMU BORA NA NGUMU