KIJANA ANASWA KWA TUHUMA YA KUTAKA KUIBA GARI MUHIMBILI

Kijana aitwaye Exaud Masika (kulia) akiwa Kituo Kidogo cha Polisi cha Muhimbili, Dar es Salaam leo, baada ya kukamatwa kwa tuhuma za kutaka kuiba gari aina ya Toyota Corolla namba T 976 ADF. Mtuhumiwa huyo alikwenda Hospitali ya Taifa ya Muhimbili akiendesha gari namba T 919 AEF aliloliegesha na kuwateremsha ndugu zake waliokwenda hospitalini hapo kupatiwa tiba na baada ya muda mfupi akanaswa na mlinzi akitaka kuiba gari hilo. (PICHA NA KHAMIS MUSSA)

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.