LIJAMAA LIMEHARIBU SINGE YA BUNDUKI YA MNARA WA ASKARI DAR

 Mtu ambaye inadaiwa hana akili nzuri alikamatwa na kupelekwa kituo cha Polisi, baada ya kukutwa akiharibu mnara wa Askati uliopo katikati ya Jiji la Dar es Salaam. Mpaka sasa hiajafahamika jamaa huyo amechukuliwa hatua gani. Kamanda wa Matukio linaahidi kufuatilia kisa hicho

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA