LOWASSA APOKELEWA KIFALME, AMNADI MKWEWE SIOI


Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowass (katikati) akiwasili katika viwanja vya Kikatiti, Jimbo la Arumeru Mashariki kwenye Mkutano wa kumpigia Kampeni mgombea ubunge wa kupitia CCM, Sioi Sumari leo

Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa (kushoto) akimnadi mgombea ubunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Sioi Sumari katika mkutano wa kampeni uliofanyika LEO katika viwanja vya Kikatiti. Uchaguzi unafanyika Jumapili.  (NA MPIGAPICHA WETU)
                                                     Msafara wa pikipiki ukimpokea Lowassa
                             Lowassa akilakiwa na Katibu Mkuu wa CCM, Wilson Mukama
                                                                                   Lowassa akihutubia
 Rais wa Awamu ya Tatu, Benjamin Mkapa, akiwasalimia wananchi kwa mtindo wa kuonesha dole

Ngoma ya kimasai iktumbuiza katika mkutano huo

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA