MAANDALIZI YA MIAKA 10 YA MFUKO WA TAIFA WA BIMA YA AFYA

Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), Emmanuel Humba (katikati) akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari, Dar es Salaam leo, kuhusu maandalizi ya maadhimisho ya miaka 10 ya mfuko huo tangu ulipoanzishwa 2001. Kulia ni Mkurugenzi Mwendeshaji wa NHIF, Eugen Mikongoti na Michael Mhando ambaye ni Mkurugenzi wa Utafiti na Takwimu wa mfuko huo.
 Humba akisisitiza jambo katika mkutano huo
 Jopo la viongozi wa mfuko huo wakiwa kitu kimoja
 Mwandishi wa habari wa gazeti la Uhuru, Celina Wilson akiuliza swali
 Wanahabari wakiwa kazini
Cameraman wa Kituo cha ITV, Idrisa Magomeni akiwa makini kuchukua tukio hilo muhimu

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.